![]() Unicode is a computing industry standard for the consistent encoding, representation and handling of text expressed in most of the world's writing systems. ![]() ![]() Recuperar tienda de aplicaciones de telefono nokia lumia920Ĭomprehensive customer service par excellence programme ![]() Nchi hizi zimechangia kwa kiwango kikubwa kwa kukopesha maneno mengi ya lugha zao katika lugha ya Kiswahili. Kwa kipindi cha miaka zaidi ya miaka elfu moja, kumekuwa na mawasiliano kwa viwango tofauti katika nchi za Mashariki ya Kati, Uajemi, India, China, Ureno na Uingereza. Tambua kuwa lugha ya Kiswahili ni lugha kamili na wala si lugha chotara kwa maana ya mchanganyiko wa lugha ya Kiarabu na lugha ya Kibantu kama watu wengi wanavyodhani. Wataalamu wa lugha wameandika kuhusu lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa na lugha rasmi inayokadiriwa kutumiwa na watu wapatao zaidi ya milioni 60 duniani kote.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |